Wachuja Nafaka Feat. KSouth | Mapato

Wachuja Nafaka Feat. KSouth | Mapato


Wachuja Nafaka ni moja kati ya makundi makongwe ya Hip Hop kuwahi kutokea Tanzania. Kundi hili liliundwa na Wasanii watatu ambao ni JUMA NATURE, KR MULLAH & DOLLO.

Wimbo huu wa MAPATO ni kati ya nyimbo zinazopatikana katika Album yao ya UKWELI NA UWAZI ambapo waliwashirikisha kundi la K SOUTH kutoka Kenya.

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.

https://www.youtubepp.com/watch?v=JweobH5YOzM

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA

Leave a comment

Your email address will not be published.