B LOVE M | ANAKUDANGANYA | BANANA ZORO & MASIGA

B LOVE M | ANAKUDANGANYA | BANANA ZORO & MASIGA


Banana Zorro ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongo Fleva,  waliothubutu kuimba wakati ambao Rap ikitamba na kukubalika zaidi – wakati ambao wasanii wa kuimba waliitwa wabana pua, lakini hakukata tamaa, akakaza msuli.

Banana Zahir Ally Zorro, katika kipindi hicho aliweza kupenyeza na kukubalika akiwa na wabishi wengine kama Mr. Paul na baadaye kuunda kundi la B Love M akiwa na memba mwenzake Masiga.

Singo za Anakudanganya na Big Boss ndizo zilizomuweka kwenye ramani ya muziki huo.

B LUV M ~ ANAKUDANGANYA

https://www.youtubepp.com/watch?v=VLbV0qGJaic

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA

Leave a comment

Your email address will not be published.